FOMU YA MAOMBI YA KUJIUNGA

UTANGULIZI
Anza Entrepreneurs kwa kushirikiana na Aga khan Foundation chini ya udhamini wa Umoja wa Ulaya wanayo furaha kufungua dirisha la maombi kwa programu ya kuongeza uwezo kwa wajasiriamali wabunifu kwa mwaka 2022 katika mikoa ya Lindi, Mtwara, Mwanza na Dar es salaam, wanaosaidia kutatua katika changamoto zilizopo katika jamii ya Tanzania.
 
VIGEZO
Vigezo vya kujiunga na programu hii ni: 
1. Ubunifu  2. Umri (Miaka 18 – 35) 3. Sekta (Kilimo, elimu, afya, nishati mbadala, maji na usafi)