Jina kamili
Barua pepe
Namba ya simu
Tarehe ya kuzaliwa (yyyy-mm-dd)
jinsia
Mahali pa kuzaliwa
Jina la biashara
Biashara ilipo
Jumla ya wafanyakazi (pamoja na wewe)
Biashara yako imejikita katika sekta gani?
Kama nyingine, tafadhali taja
Kwa muda gani sasa biashara yako imekua ikifanya kazi?
Kwa mwaka uliopita umepata mapato kiasi gani?
Unaelezeaje hali yako ya kifedha
Kama biashara yako ina website au ukurasa wa facebook, tafadhali weka hapa:
Tafadhali elezea kuhusu huduma/bidhaa zinazotolewa kwenye biashara yako, wateja wako wa msingi na malengo yako ya biashara yako.
Umeshawahi kupata huduma ya ushauri wa kibiashara au msaada wa kibiashara?
Kama ndio, ni huduma ya aina gani uliyopata?
Ninaelewa kuwa Anza inachaji ada ya $1000 kwa huduma ya miezi 8
Tafadhali weka alama ya vema kwenye boksi hili kukubali
Uumeijuaje Anza?
Kama nyingine, tafadhali taja