Tathmini ya Biashara Mtandaoni

Gundua uwezo wako wa kukua

Jibu maswali haya 9 ili kujua hatua yako ya ukuaji wa biashara.

Kwa kila ‘swali’ unapaswa kuchagua kauli inayoelezea biashara yako.

Mwanzo wa Tathmini

Kwa tathmini zaidi ya biashara tupigie simu namba +255 758 397 111 au tuandikie barua pepe info@anzaentrepreneurs.co.tz kuwasiliana na Washauri wetu wa Maendeleo ya Biashara (Lazima uweze kutembelea ofisi zetu Arusha au Moshi).